GET /api/v0.1/hansard/entries/1236583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236583,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236583/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Spika. Ninaunga mkono yote yaliyosemwa katika hii Hoja. Kuna uhuru wa dini. Kipengele cha 32 cha Katiba yetu kinasema kwamba kila mtu ana uhuru kujumukika kimawazo, kidini, kimafikra na pia kuomba Mungu vile atakavyo. Hivi majuzi, tumekuwa na mshikemshike ambao ulitokea Shakahola, Eneo Bunge la Magarini, Kaunti ya Kilifi. Ni jambo la kusikitisha. Ndio sababu Seneti imeona kuna umuhimu kuwa na jopo ambalo litaangalia suala hili."
}