GET /api/v0.1/hansard/entries/1236682/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236682,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236682/?format=api",
    "text_counter": 351,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Githuku",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13595,
        "legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
        "slug": "kamau-joseph-githuku"
    },
    "content": "haraka na mambo yanayotendeka katika sehemu ya Shakahola yawache kudhuru watu wetu. Niko na imani na Kamati hii ambayo imeteuliwa hapa. Kamati hii inatarajiwa kuangalia mashida na matatizo ambayo yamekumba waumini wa ile dhehebu. Nina uhakika kuwa Kamati italeta mapendekezo mazuri katika Bunge hili, ambayo yatazuia maafa kwa siku zijazo kupitia wahubiri au watumishi wanaotumia wafuasi wao kimakosa na kuwaangamiza kwa manufaa yao."
}