GET /api/v0.1/hansard/entries/1236683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236683,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236683/?format=api",
    "text_counter": 352,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Githuku",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13595,
        "legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
        "slug": "kamau-joseph-githuku"
    },
    "content": "Kamati hii inafaa pia kuleta pendekezo la onyo kwa wahubiri wanao nia mbaya na kuhubiri kwa njia isiyo stahili. Kitu ambacho nchi hii itaangalia ni jinsi ambavyo Kamati italeta mapendekezo. Sisi kama wajumbe tunafaa kutilia jambo hilo mkazo na liwe na kanuni zitakazo saidia Jamhuri hii. Naunga mkono."
}