GET /api/v0.1/hansard/entries/1236739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236739,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236739/?format=api",
"text_counter": 408,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Huu mgao wa kusawazisha magatuzi, ulikuwa tayari umewekwa ua ya kwamba hizo pesa zingeangazia huduma za barabara. Leo ninauliza, je, Tume ya ugavi wa pesa ama Commission on Revenue Allocation (CRA ) ilifanya utafiti namna gani na kugundua ni wadi mbili peke yake Kaunti ya Taita-Taveta, ambazo zinafaa kupata mgao wa kusawazisha magatuzi?"
}