GET /api/v0.1/hansard/entries/1236757/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1236757,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236757/?format=api",
"text_counter": 426,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Ni ukweli wa mambo kwamba Kamati ya Fedha na Bajeti ilifanya kazi nzuri. Walituletea Ripoti nzuri ambayo ilikuwa inapendekeza tusikubaliane na Bunge la Taifa, kuipa counties Kshs385 bilioni, wakongeza hadi Kshs407 bilioni. Lakini, Bunge la Seneti lilikataa na likapea counties Kshs385 bilioni."
}