GET /api/v0.1/hansard/entries/1236918/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1236918,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236918/?format=api",
    "text_counter": 113,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Bwana Spika. Swali langu laenda kwa Waziri Mkuu. Ningependa kujua kule Dongo Kundu Special EconomicZone mmetumia mbinu gani kufidia wale waliopokonywa mashamba yao ili kufanya huo mradi? Kuna tetesi kuwa kuna yule pengine alikuwa na ekari saba ama kumi amepewa only 50"
}