GET /api/v0.1/hansard/entries/1238046/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238046,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238046/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Sen. (Dr.) Khalwale ni mpiganaji wa ng’ombe lakini hilo ni swali la kutafakari. Bw. Spika, nakushukuru pamoja na watu wa Kaunti ya Kilifi wanaojua mimi ndiye Seneta wao. Si rahisi jambo hili kutendeka lakini kwa mara ya tatu nimeweza kurudi na kushirikiana na wenzangu ndani ya Bunge hili. Yale yote ndugu zangu kutoka sehemu hiyo watajifunza hapa wanafaa kuyaangalia yanayofaa na inayoweza kutekelezwa katika Bunge la Kaunti ya Kilifi ili wasonge mbele Asante."
}