GET /api/v0.1/hansard/entries/1238293/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238293,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238293/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Wengine wetu tunashangaa ilikuwaje babu zetu wakatujumuisha na watu wengine Kenya. Kwetu Pwani hakuna itikadi ama hulka ya kuua mwenzako kwa njia yeyote. Yale uliyoyasikia juzi ya Shakahola, ni wageni waliokuja kutoka sehemu zingine ndio wamepata msitu na kuanza kufanya itikadi zao mbovu."
}