GET /api/v0.1/hansard/entries/1238294/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238294,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238294/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ni masikitiko kwamba Serikali tuliyonayo, miaka 60 ya uhuru, bado tunauwana na kupoteza maisha kiholela. Vijana na akina mama wanauliwa bila makosa yoyote waliyofanya katika maeneo yao. Ukiangalia vyema, mambo haya yanafanywa chini ya uangalizi wa Serikali."
}