GET /api/v0.1/hansard/entries/1238296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238296/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Masikitiko ni kwamba kama ingekua ni Muislamu aliyefanya mambo yale nina hakika angekua ameenda mbele ya Mwenyezi Mungu kufikia sasa. Sheikh Abdi Rogo alipigwa risasi mbele ya bibi yake. Alikuwa ndani ya gari na bibi yake na mtoto, akapigwa risasi na kuuliwa. Bibi yake kutoka wakati huo mpaka sasa hajapata amani. Sheikh Makaburi Abubakar alitoka kortini Shanzu na kupigwa risasi na kuuliwa pale bila ya hatia yeyote."
}