GET /api/v0.1/hansard/entries/1238297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238297,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238297/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ni masikitoko kwamba watu wanauwana Marsabit, Samburu na Turkana wakati Serikali iko pale, iko macho na haifanyi chochote. Jana tumepeleka ardhilhali katika Ofisi ya Rais na tulitimuliwa na polisi kama 200. Wabunge 20 wanatimuliwa na askari 200."
}