GET /api/v0.1/hansard/entries/1238299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238299/?format=api",
    "text_counter": 349,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tulikuwa tumepeleka Petition kwa Serikali. Ni makosa kupeleka Petition kwa Serikali? Tunaona kwamba Serikali inatumia vibaya mamlaka yake. Mahali watu wanaumia na kufa, hakupelekwi usalama. Lakini hapa katikati ya mji, Wabunge 11 ama 20 wamekwenda kupeleka Petition kwa Ofisi ya Rais, tunaskumwa na kupigwa na"
}