GET /api/v0.1/hansard/entries/1238302/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238302,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238302/?format=api",
    "text_counter": 352,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Hii ni Serikali iliyochaguliwa kwa imani kwamba itaondoa mauwaji ya kimbari na kuleta usalama kwa mwananchi. Leo ni masikitiko kwamba ndugu yangu Sen. Chute kutoka Mandera aliyechaguliwa kwa chama cha United Democratic Alliance (UDA), analia kwamba watu wake wanapata shida na wanakufa wakati Serikali inasumbua viongozi wa upinzani."
}