GET /api/v0.1/hansard/entries/1238467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238467,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238467/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sisi watu wa Mombasa tunaumia sana kwa sababu hatuna vitega uchumi vingine zaidi ya utalii. Ningependa urekebishe hizo idadi za pesa ambazo tumezikosa kama Serikali ya taifa ya Kenya kwa sababu ya maandamano."
}