GET /api/v0.1/hansard/entries/1238471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238471,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238471/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Malonza",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Tourism, Wildlife and Heritage",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Nitajibu hilo swali kwa kusema, nitakaa chini na niangalie kila sekta kwa maana si mbuga ya wanyama inapoteza lakini biashara nyingi katika sekta ya utalii zinapoteza pia. Kwa hivyo, nitakapohitajika kwa kikao kingine tena, nitakuwa tayari kunukuu na kusema ilikuwa ngapi."
}