GET /api/v0.1/hansard/entries/1238546/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238546,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238546/?format=api",
    "text_counter": 213,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "aliamuru shamba hiyo ipimwe na wale wakaazi wa pale wapewe title deeds na zile ambazo zilikuwa na ukora zitupiliwe mbali. Ningependa kumwuliza Waziri, mbona mpaka sasa, hiyo ardhi haijapimwa na mpaka imefikia kiwango cha maofisa wa navy wakishirikiana na mabwenyenye wameweka alama ya X kwa nyumba ambazo zimejengwa hapo ili kuwavunjia wakaazi?. Mbona kama taasisi, kama department, tusiweze kupimia watu tukawapa ardhi zao? Kadri ardhi inavyochelewa kupimwa ndiyo insecurities nyingi zinaambatana na maswala ya ardhi. Ningependelea kujibiwa kwa nini Bububu Settlement Scheme mpaka leo haijapimwa na kesi yake iliisha mwaka wa 2016 pale Likoni sub county?"
}