GET /api/v0.1/hansard/entries/1238550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1238550,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238550/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Njeru",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Lands, Public Works, Housing and Urban Development",
"speaker": {
"id": 278,
"legal_name": "Peter Njeru Ndwiga",
"slug": "peter-ndwiga"
},
"content": " Ukweli ni kwamba, jambo hilo sikuwa nimelishughulikia lakini nakuhakikishia ya kwamba kama Wizara, tutalichunguza na pia tutahusisha NLC ili kama kuna shida hiyo, tuweze kuitatua kama Wizara ili watu wetu kule waweze kufaidika na kupata haki yao."
}