GET /api/v0.1/hansard/entries/1238905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238905,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238905/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi ili nichangie hii Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Mfuko wa Fedha. Katika hii Ripoti, nimeona Lamu Mashariki haiko lakini Lamu Magharibi iko. Nina masikitiko kwani naona kuna matatizo mengi na fedha hizi huwa ni za kusaidia wanyonge kule. Wale ambao hawajiwezi hata haziwasaidii. Fedha hizi zikiwa haziangaliwi vizuri, wale wanyonge wanazidi kuwa wanyonge. Mimi naunga mkono hii Ripoti kama Mkaguzi Mkuu alivyosema. Nimeshangazwa sana kama Kaunti ya Lamu. Upande wa Lamu Magharibi umefanyiwa ukaguzi na Lamu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}