GET /api/v0.1/hansard/entries/1238906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1238906,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238906/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Mashariki haujafanyiwa. Imekuwa shida kwetu kwani Lamu Mashariki imekuwa nyuma sana kwa miaka mingi kwa sababu hawa wakaguzi wakienda wanaambiwa kule kuna Al Shabaab, bahari chafu na huwa hakuna bahari chafu wala Al Shabaab. Huwa ni kigezo tu cha kuwafanya wasiende kukagua. Na wakiendelea hivyo huwa wanaleta shida. Shida ni kama sasa hivi mimi nimeingia nikifika kwangu kazi ni nyingi za kufanywa na pesa nayo iko lakini nikiangalia zile kazi nilizonazo kama zingefanywa nyuma ingekuwa rahisi kwangu. Kwa mfano, saa hii wanaambiwa upande wa NG-CDF wapande miti. Miti hiyo itapandwa vipi na sasa shule zote za Lamu Mashariki hazina kuta, yaani boundary walls ? Hakuna shule hata moja iliyonayo. Watu wa Lamu Mashariki wataendelea kutatizika lakini Mwenyezi Mungu atatusaidia tung’ang’ane. Mimi saa hii niko macho kuangalia na kufanya yangu. Kama Mbunge inafaa niangalie kwamba fund manager anafanya kazi vizuri na hao"
}