GET /api/v0.1/hansard/entries/1239191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1239191,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239191/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Ningependa kumshukuru sana Sen. Cherarkey. Maajabu, Ijumaa usiku, nilitoka Mombasa nikija Nairobi kutumia KQ. Nilipokuwa Airport, masaa ya ndege ilibadilishwa mara mbili na tukaambiwa, tuongoje masaa ambayo tutaambiwa tena. Kwa bahati nzuri, tulifika hapa saa sita ya usiku. Bw. Spika, wakati tuliingia kwa ndege, mama mmoja mjamzito na kijana wake walikosa mahali pa kuketi kwa ndege na wakawekwa kwa jump seat . Mimi niliketi hapo karibu nikimwangalia tu. Kijana wake alikuwa ameketi kwa jump seat ingine. Mimi nilijiuliza wamekosa ndege namna gani? Walipofika kwa ndege walipiga kelele na kusema lazima wapewe kiti. Hiyo ni aibu kubwa sana. Bw. Spika, mimi nimefanya biashara ya ndege kwa miaka nyingi sana. Na mimi pia ni rubani wa ndege kama vile ---"
}