GET /api/v0.1/hansard/entries/1239197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1239197,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239197/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": ", ambayo ni yao pekee yao, iko Ethiopian Cargo andLogistics ambayo wanatengeneza pesa na Ethiopia Ground Services, hiyo ni kando. Pia kuna Air Ethiopia Maintainance and Repairs. Karibu ndege zote za Africa, hata za Kenya, zinafanyiwa repair Ethiopia. Ukiangalia vizuri, kwa masomo, hakuna mtu ameshinda Kenya katika Afrika. Lakini, wakifika kwa hiyo mashini, sijui ni confusion aina gani wanapata mpaka hata"
}