GET /api/v0.1/hansard/entries/1239199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1239199,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239199/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "wameshindwa kufunga. Hii ndio maana ndege zetu zinatolewa hapa na kufanyiwa repair katika nchi ya Ethiopia. Bw. Spika, bado sijamaaliza. Ethiopia Airlines ina- manage airports zote za Ethiopia. Wanatengeneza pesa kutoka hapo. Wako na Travel and Tourism Agency yao. Ukitoka kwenye airport ya Ethiopia, upande wa kushoto utaona Ethiopia Airlines Hotel ambayo ni five-star hotel. Iko na vyumba Zaidi ya 500. Hiyo yote inawaletea pesa. KQ saa hizi, wakora, wanabook ndege ya Boeing na Airbus. Wakenya wakitaka kutumia hizi ndege lazima wapitie watu fulani. Hawa watu hawajalipa pesa. Pesa ya Kenya wakisign lease, ile deposit wanalipa ndio inaenda kulipwa kwa hiyo kampuni ya ndege. Ndege haitakuwa tayari mpaka miaka mbili au tatu. Kitambo hiyo yote, KQ inaendelea kulipa mpaka siku ndege itakuwa tayari na pesa yote itakayotumika ni ya KQ. Bw. Spika, juzi tuliketi kwa ndege ambayo imeendikwa Pride of Africa . Lazima tuipatie jina nyingine. Tuite Future of Africa . Future, sio Pride of Africa saa hii. FuturePride of Africa ."
}