GET /api/v0.1/hansard/entries/1239201/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1239201,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239201/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "saa hii tumekosea. Ile shida ambayo iko kwa KQ leo ni leases . Bw. Spika, Serikali iliyopita ilikuwa uongozini kwa miaka kumi. Serikali ya Kenya Kwanza ambayo sisi tuko ndani, sasa imebakisha miezi miwili au tatu imalize mwaka mmoja. Hata baada ya miaka mingine tano, sioni kama mabadiliko yatakuja. Hata Serikali ya Kenya Kwanza haitaleta mabadiliko. Nafikiria hivyo kwa sababu kuna cartels wame sign contracts. Kama vile Sen. Wamatinga amesema, ukiangalia IPPs, wale watu wanapeana stima wakati huu, wamesaini kandarasi ya miaka 25. Hata kutoka kwa hiyo contract itakuwa ni shida. Hata saa hizi leases zimesainiwa za miaka 20 au 25. Hatutatoka kwa hiyo kandarasi. Kile kitu tungefanya kwa sababu hii maneno ya Kenya imekuwa shida,. Kama ni wasomi, pesa na ujuzi tuko nazo, lakini vitu vyetu vyote viko nyuma. Ukiangalia, Kenya Power Company, KenGen na Menengai Geothermal Project ni"
}