GET /api/v0.1/hansard/entries/1239596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1239596,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239596/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13586,
        "legal_name": "Alexander Mundigi Munyi",
        "slug": "alexander-mundigi-munyi"
    },
    "content": "Bw. Spika, naunga mkono Sen. Okenyuri kwa kuangazia mambo ya walimu. Mtu anayefaa kuheshimika Kenya hii ni mwalimu, kwa sababu anafanya kazi yote. Walimu vile vile hufunza kuanzia madarasa ya chekechea hadi shule za upili. Shule zinapofungwa, walimu husimamia na kusahihisha mitihani angalau wapate marupurupu. Vile vile, husimamia uchaguzi. Ni jambo la kushtusha kwamba Serikali ya Kenya haijawalipa. Tunaomba iwalipe kwa sababu wamekuwa wakinyanyaswa kwa kupelekwa shule za mbali. Wakati shule zinapofungwa, wao huwacha watoto wao ili kuenda kusahihisha mitihani lakini bado hawapati hela zao ambazo ni kidogo. Bw. Spika, naunga mkono uchunguzi ufanywe kujua kwa nini hawalipwa. Asante."
}