GET /api/v0.1/hansard/entries/1240995/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1240995,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1240995/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Naunga sana hii Petition ambayo imeletwa wakati huu. Lazima sisi Maseneta tuhakikishe na tusimame imara ili hao walimu walipwe kwa wakati wake. Hiyo Kamati utakayoagiza ichunguze, ifanye kwa haraka sana kwa sababu, it is all over. Jambo hili haliathiri Kaunti ya Kwale peke yake. Hata Mombasa na Kilifi, walimu wananung’unika kwa sababu ya pesa zao. Asante."
}