GET /api/v0.1/hansard/entries/1241065/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1241065,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1241065/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Nimesimama kuunga mkono Taarifa ya Mhe. Chimera kuhusu watu wa Ukunda kwanza waweze kulipwa ridhaa. Naunga mkono kwamba wakati wowote ambapo Serikali inataka kufanya miradi ni lazima sehemu ambayo imekaliwa na wananchi, ni haki yao kulipwa fidia na Serikali. Kuna sehemu nyingi tofauti tofauti katika Jamhuri yetu ya Kenya ambapo wananchi wameathiriwa na miradi ya Serikali. Ningetaka kuongea kuhusu watu wangu wa Kauti ya Lamu. Pale Mahali Lamu Port, South Sudan, Ethiopia Transport Corridor (LAPSSET) imekalia, kuna wananchi"
}