GET /api/v0.1/hansard/entries/1241067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1241067,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1241067/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "wangu pale wameathirika sana na Serikali haijawahi kuwalipa ridhaa. Naungana na wenzangu kwamba huo ni mradi ambao utafaidi Serikali ya Kenya. Haitakuwa vizuri watu wachache kama watu wangu wa Lamu waumie. Kuna barabara ambayo imekatwa kutoka LAPSSET mahali imekalia hadi Southern Sudan ikipitia Isiolo. Shirika la NLC liliandikisha wale watu wote waliokuwa wamekalia ile sehemu na wakasema kwamba wamenastahili kulipwa fidia. Tangu siku hiyo waliochukua hayo maoni na kuweza kuwatambua wale watu wote ambao waliathiriwa na mradi huo wa LAPSSET lakini hajawahi kulipwa. Naungana na wenzangu kusema wale watu pia wanafaa kuingizwa katika orodha ya kuweza kulipwa ridhaa na fidia ili waweze kujinufaisha na maisha yao yaweze kuendelea na waendelee kujivunia kuwa Wakenya. Asante, Bw. Spika. Naunga Mkono."
}