GET /api/v0.1/hansard/entries/1241182/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1241182,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1241182/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Mswada ambao umeletwa na Sen. Mariam Omar. Namshukuru sana kwa kuona mbali na kushughulikia swala ambalo linajenga serikali za ugatuzi na Serikali ya Kitaifa. Madhara ya kuchelewesha malipo kwa wafanyabiashara wadogo na wale waliokomaa ni makubwa. Ni muhimu huu Mswada kuwa sheria ili kuhakikisha kwamba watu wanaofanya kazi wanalipwa kwa wakati unaostahili. Kama wenzangu walivyosema, wafanyibiashara na wewekezaji wanaokopa fedha kutoka benki na mashirika mengine ya kifedha. Malipo"
}