GET /api/v0.1/hansard/entries/1241184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1241184,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1241184/?format=api",
"text_counter": 258,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "inapochelewa wao huhangaika sana. Malipo yanafaa kuwafikia wafanyabiashara au wafanyikazi ambayo ametoa huduma kwa Serikali ya Kitaifa au serikali za kaunti. Malipo hayafai kuwa kama katika kitabu cha Shamba la Wanyama, ambapo kuna wale wanaolipwa na kuna wale ambao wanawekwa wakae wangoje miaka nenda, miaka rudi. Wengi huhangaika na kufa kwa sababu ya shida zinazotokana na kukosa fedha."
}