GET /api/v0.1/hansard/entries/1241247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1241247,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1241247/?format=api",
"text_counter": 321,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Shakilla Abdala",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi Spika wa Muda, kucheleweshwa kwa malipo za wanaofanya biashara katika nyanja mbalimbali za Serikali ya Kitaifa hadi serikali za kaunti ni shida ambayo inakabili nchi hii. Kuna umuhimu wa kutunga sheria ambayo itakuja kutekelezwa na itakuwa ni kama funzo na kufanya serikali ziwajibike kikamilifu. Kwanza, mradi wowote ambao unatekelezwa, huwa umefanyiwa bajeti yake. Mradi ukibajetiwa huwa tayari kuna pesa ya kutekeleza mradi huo. Kwa hivyo, hakuna sababu yoyote ya kukosa kumlipa mtekelezaji wa mradi kwa ukosefu wa fedha. Ni lazima mtu akipeana huduma kwa kaunti au Serikali ya Kitaifa apokee malipo yake kwa"
}