GET /api/v0.1/hansard/entries/1241395/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1241395,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1241395/?format=api",
"text_counter": 85,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ninashukuru kwa nafasi hii. Ningependa kutoa hoja chache, hususan kwa wachapakazi ambao walikuwa wanafanya kazi katika Serikali ya Mhe. Marehemu Mwai Kibaki. Hiyo ilikuwa katika mfumo wa kuamsha uchumi uliokuwa umezorota. Bw. Naibu Spika, watu hawa walichangia pakubwa. Wakati huo, nilikuwa kiongozi wa vijana kule mashinani. Tulipanda miti, tukaibua mitindo tofauti ya kukuza uchumi, ufugaji wa samaki na kadhalika. Ni jambo la kusononesha sana, kupata Gavana"
}