GET /api/v0.1/hansard/entries/1242198/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242198,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242198/?format=api",
    "text_counter": 888,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakoli",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 208,
        "legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
        "slug": "wakoli-bifwoli"
    },
    "content": "Mimi kama mmojawapo wa wanachama wa Kamiti ya Ukulima na Uchumi Samawati, tuliweza kuzuru pembe mbalimbali za nchi ya Kenya ambazo zimeweza kihistoria na kitafiti, kudhibitishwa kwamba ni maeneo pamba inawezakuzwa, kuvunwa na vilevile kutengenezwa kwa bidhaa mbalimbali."
}