GET /api/v0.1/hansard/entries/1242199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242199,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242199/?format=api",
    "text_counter": 889,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakoli",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 208,
        "legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
        "slug": "wakoli-bifwoli"
    },
    "content": "Jambo ambalo lililodhihirika ni kwamba kudorora kwa idara ya pamba nchini ni kwa sababu ya ufisadi, mfumo mbaya wa uongozi na kutogharamika kwa Serikali kuu kwa kuwapa wakulima pembejeo. Ni lazima tuwape wakulima wa pamba taaluma ya kisasa kuhakikisha kwamba Kenya inaenenda kibiashara na kiuchumi na nchi za kimataifa zilizobobea katika upanzi, uvunaji na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali katika bara la Afrika na dunia."
}