GET /api/v0.1/hansard/entries/1242200/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242200,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242200/?format=api",
    "text_counter": 890,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakoli",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 208,
        "legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
        "slug": "wakoli-bifwoli"
    },
    "content": "Katika Kaunti ya Kitui, tuliweza kuzuru kiwanda kilichobuniwa mwaka wa 1983 kinachoongozwa na uzao wa tatu wa familia ya kihindi. Kaunti ya Bungoma tuliweza kuzuru kiwanda cha Malakisi. Na katika Kaunti Busia tulizuru kiwanda cha Mrwanda. Hivi ni viwanda vilivyo na uwezo mkubwa wa kutengeneza bidhaa mbalimbali kama mavazi, vyakula vya mifugo na mafuta kama diesel inayotumika na magari."
}