GET /api/v0.1/hansard/entries/1242201/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242201,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242201/?format=api",
    "text_counter": 891,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakoli",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 208,
        "legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
        "slug": "wakoli-bifwoli"
    },
    "content": "Sisi kama Kamati ya Kilimo na Seneti ni lazima tuekeze katika upanzi wa pamba kama mojawapo ya vitega uchumi ili Kenya iweze kujimudu katika sekta ya kutengeneza mavazi na mambo mbalimbali."
}