GET /api/v0.1/hansard/entries/1242202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1242202,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242202/?format=api",
"text_counter": 892,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wakoli",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 208,
"legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
"slug": "wakoli-bifwoli"
},
"content": "Tukiangalia mapato ambayo Serikali ilikuwa inapata hapo awali, mapato hayo yamedidimia kwa sababu ya utepetevu. Hii falsafa ama mfumo, sheria na kanuni ambazo Mswada huu unaleta ni kuhakikisha uwajibikaji katika uongozi wa viwanda hivi."
}