GET /api/v0.1/hansard/entries/1242204/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242204,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242204/?format=api",
    "text_counter": 894,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakoli",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 208,
        "legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
        "slug": "wakoli-bifwoli"
    },
    "content": "Vile vile, Serikali za kaunti zimepewa majukumu ya kuwapa mbegu na pembejeo wakulima hawa ili maeneo ya Nyanza, yaliyo na kiwanda ama taasisi ya uchunguzi na utafiti wa upanzi wa pamba uweze kuimarishwa maradufu ili Wakenya waendelee kunufaika."
}