GET /api/v0.1/hansard/entries/1242266/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242266,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242266/?format=api",
    "text_counter": 956,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Naunga mkono dadangu Sen. Beth Syengo ya kuwa pamba inafaa kuhimizwa na kuwa hima kwa viwanda vya pamba. Dada yetu ameeleza kwamba huu Mswada ni mzuri sana. Kilimo cha pamba kinafaa. Wakenya bado hawajaelewa vizuri kwamba pamba ni dhahabu nyeupe. Nchi ya Tanzania, imechukulia ukulima wa pamba kwa uzito. Pamba inatoa viti vingi sana. Pia inaponya magonjwa mengi sana. Upande wa gome la mzizi wa pamba, root ni dawa ya magonjwa kama vile, kutapika, maumivu ya kichwa na kuzuia kuendesha. Yote hii inatokana na pamba. Pia inatoa mafuta kama ya zeti, korosho na karanga. Dawa inayoitwa Omega 3 inatokana na pamba na inatuzuia magonjwa mengi kama ya mifupa na---"
}