GET /api/v0.1/hansard/entries/1242345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242345,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242345/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kutokana na swali la Sen. Lomenen, Kaunti ya Turkana inajulikana kwa rasilimali ya mafuta. Wakati wa kuchimba mafuta, miradi ya Corporate Social Responsibility (CSR) ilitakiwa kufanywa. Kwa vile mafuta yalichimbwa huko Turkana hayakuwa na faida, ni jambo gani ambalo litafanyiwa wakaazi wa Kaunti ya Turkana ili waridhike kwamba wamefaidika kwa kujitolea kwao na kupeana nafasi ya mafuta kuchimbwa?"
}