GET /api/v0.1/hansard/entries/1242427/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1242427,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242427/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika kwa nafasi hii. Waziri ametaja kwamba kupatia Wakenya umeme ni jambo ambalo anashughulikia. Kuna vijana mliowaandika kufanya kazi ya kuunganisha nyaya za umeme ili Wakenya wapate umeme. Mko na malighafi ya kutosha kuhakikisha Wakenya wanapata umeme? Iwapo hawatoshi, ni mbinu zipi ama vigezo vipi ambavyo mnatumia kuhakikisha kwamba Wizara yako inawapa Wakenya wote nafasi ya kupata ajira kutokana na rasilmali tulionayo katika Wizara yako?"
}