GET /api/v0.1/hansard/entries/1242615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242615,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242615/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Magereza yetu yote yalijengwa kabla ya uhuru. Kwa muda wa takriban miaka 60, Kenya haijajenga gereza hata moja. Kwa hivyo, nafasi ni ndogo katika magereza yetu na wafungwa wengi wanapata shida. Kwa hivyo, jinsi ya kutatua msongomano katika jela zetu ni swala ambao lazima liangaliwe kwa undani zaidi. Wanaohukumiwa aghalabu wapate afueni kutokana na hali mbaya ya magereza yetu."
}