GET /api/v0.1/hansard/entries/1242633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242633/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Ingekuwa bora zaidi kama Serikali ingeweza kujitoa kimasomaso ili kuona watoto wanaosoma katika shule ya viziwi ya Kabarnet wamepata pesa za kuendelea na masomo yao. Nasisitiza kuwa wanafaa kupelekewa hundi la pesa ili ifunguliwe na iweze kusaidia wanainchi."
}