GET /api/v0.1/hansard/entries/1242810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242810,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242810/?format=api",
    "text_counter": 292,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherarkey",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda. Singependa kumtatiza Seneta Murango. Kulingana na Kanuni ya Kudumu ya 105, ameibua jambo nzito kwamba wangependa kuendelea kulingana na Sehemu 118 ya Katiba ili kukusanya maoni ya wakulima lakini walifika mahali pesa zikaisha. Je, hayo si ni mambo ya nyumbani, yaani in-house ?"
}