GET /api/v0.1/hansard/entries/1242812/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242812,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242812/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherarkey",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Ikiwa tutawaambia wananchi wa Kenya kuwa hatutaenda kupokea maoni yao kulingana na Ibara ya 118 ya Katiba, inamaanisha kuwa hatutaweza kupata maoni ya wananchi. Haya ni mambo tungesema saa zile tuko peke yetu. Asante, Bi. Spika wa Muda."
}