GET /api/v0.1/hansard/entries/1242898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1242898,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242898/?format=api",
"text_counter": 39,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, kama kuna wakati nchi hii inahitaji usaidizi ni msaada wa madaktari. Wanafunzi wanaosomea udaktari ni wa maana kwa sababu husaidia wagonjwa. Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa wanafunzi wanaosomea udaktari--- Chuo hicho kinahusika na uchunguzi wa magonjwa tofauti tofauti. Uchunguzi huo waweza kufaidi watu. Kwa hivyo, wataweza kuokoa maisha ya Wakenya. Kuna mgawanyiko kati ya hospitali hiyo na chuo kikuu ambapo kuna wanafunzi wanaosomea udaktari. Kuna baadhi ya watu mabwenyenye ambao wameenda kuchukuwa upande mwingine. Haikuwa sawa kuwa na legal notice ambayo ilichapishwa ili kujitenga na chuo kikuu na sehemu nyingine ikachukuliwa na watu wengine. Kamati ya Afya inafaa kuangazia kwa kina mambo yaliyotajwa katika Petition hii. Hakukuwa na sababu mwafaka kufanya hivyo."
}