GET /api/v0.1/hansard/entries/1242900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1242900,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242900/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "hiyo inafaa kuondolewa ili wanafunzi wanaosomea udaktari wapate nafasi ya kwenda upande ule mwingine kufanya uchunguzi wa magonjwa katika taaluma hiyo. Maoni yangu ni kuwa ikiwa Petition hii itapelekwa kwenye kamati husika, ni lazima ichunguzwe kwa kina. Wanafaa kutupilia mbali hiyo legal notice ili wanafunzi waweze kuendelea na taaluma yao vizuri."
}