GET /api/v0.1/hansard/entries/1242971/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242971,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242971/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Beth Syengo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Ardhilhali ya Sen. Mariam Omar kuhusu kuondolewa na kubomolewa nyumba kwa wakaazi wa Chokaa Mihango. Hii inaonyesha utepetevu wa wafanyikazi wa kampuni tofauti tofauti, kwa sababu wakati hizi nyumba zilikuwa zikijengwa, walikuwa wapi? Wanaohusika kama ni"
}