GET /api/v0.1/hansard/entries/1242989/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1242989,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242989/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "nyumbani, yani makazi yao. Wanabaki katika njia panda bila kujua waende mbele au nyuma. Kitendo ambacho kampuni ya KPC ilifanya kinafaa kukemewa. Kuna watoto wa shule, kina mama, wagonjwa na watu wa jamii mbalimbali ambao tunaishi nao. Hao ndio hupata tabu zaidi. Ni jambo la kusikitisha kutekeleza kitendo hicho ilhali kulikuwa na amri ya Mhe. Rais kwamba watu hao wasifurushwe. Leo hii wako nje. Hatujui watakaowalipa ni akina nani. Watoto wa shule hawajui wafanye nini. Hata wakienda shuleni, watarudi wapi? Wagonjwa walioko hospitalini hawajui watajikimu vipi. Ni hali ya mateso kule Chokaa. Namuunga mkono dada yangu kwa kuleta hii Petition hapa. Kamati ya Land,"
}