GET /api/v0.1/hansard/entries/1242991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1242991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242991/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "ambayo inahusika inafaa kuangalia maslahi ya watu hao ambao wamefurushwa kutoka kwa makao yao. Haki inafaa kutendeka kwa sababu kila Mkenya ana haki ya kuishi kwao. Jambo hili linatendeka sana hususan kule Kilifi. Tulikuwa tunafikiri ni sisi peke yetu. Waswahili husema; “Ukiona cha mwenzako kikinyolewa, chako tia maji.” Tabia hiyo pia imeanza kufanyika huku na hatujui itakuwaje. Tabia za watu kufurushwa hususan na kampuni za Serikali kama KPC zinafaa kukoma. Watu wanafaa kuongea ili kupata njia ya kuwapeleka mahali pengine badala ya kufurushwa na tingatinga na kuvunja nyumba zao maanake ni Wakenya wenzetu. Kwa hivyo, Bw. Spika---"
}