GET /api/v0.1/hansard/entries/1242999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1242999,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242999/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, nasimama kwa hoja ya nidhamu kulingana na Kipengee 105 cha Kanuni za Kudumu. Sen. Madzayo amesema kwamba uchungu wa mwana aujuaye ni mama. Ukweli ni kwamba uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Mzazi anaweza kuwa wa kiume au kike. Nimechanganyikiwa niliposikia akisema kuwa uchungu wa mwana aujuaye ni mama."
}